MAREKANI:
Rais wa Marekani, Donald Trump amesitisha takriban progamu 5,800 zilizokuwa zinafadhiliwa na mradi wa USAID ikiwemo misaada kwa Wakimbizi, Matibabu ya Kifua Kikuu, Malaria, UKIMWI na Chanjo ya Polio
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani imeelezwa kuwa Miradi hiyo imesitishwa kwa Maslahi ya Serikali ya Marekani.
Comments
Post a Comment
Reviews